ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC NEHEMIA MCHECHU WILAYA YA RUANGWA



Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akisaini kitabu cha wangeni ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Joseph Mkirikiti wakati Mkurugenzi Mkuu alipofika ofisini hapo kabla ya kwenda kutembelea nyumba na maeneo ya NHC.



Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Joseph Mkirikiti akiwazungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na watendaji wake wakati walipomtembelea ofisini kwake na kutembelea nyumba na maeneo ya NHC.


Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Joseph Mkirikiti akizungumza na viongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa waliofanya ziara katika wilaya hiyo kwa lengo la kutaka kujenga nyumba za makazi na biashara.


Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Joseph Mkirikiti na viongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakitoka kwenye jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya baada ya mazungumzo yenye lengo la kutaka kujenga nyumba za makazi na biashara.
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Joseph Mkirikiti na Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu pamoja na Meneja wa NHC Lindi Patrick Mussa Kamendu wakifurahia jambo nje ya ofisi ya Mkuu wa wilaya.


Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akizungumza jambo walipotembelea nyumba za NHC Ruangwa 


             Nyumba za NHC zilizopangishwa kwa watumishi wa Halimashauri ya Ruangwa.



  Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Joseph Mkirikiti na Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu  na watendaji wa NHC wakiwa katika eneo zilipo Nyumba za NHC zilizopangishwa kwa watumishi wa Halimashauri ya Ruangwa.
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Joseph Mkirikiti aliwakalibisha wageni wake wa NHC kwenye Ikulu Ndogo ya Wilaya ya Ruangwa


Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu na Meneja wa Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu NHC, Muungano Saguya wakielekea kuona moja ya eneo lilonunuliwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba wilayani Ruangwa.


Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu na watendaji wake wakielekea kuona moja ya eneo lililonunuliwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba wilayani Ruangwa.

 

Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akisaini kitabu cha wangeni alipotembelea Mradi wa Nyumba za Mtanda Lindi.



Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akiangalia moja ya Nyumba zilizojengwa na NHC Mkoani Lindi

Comments

Popular posts from this blog

JESHI LA MAGEREZA NCHINI WAJADILIANA NA NHC NAMNA YA KUENDELEZA MAKAZI MAKAO MAKUU DODOMA

Baraza Jipya la Mawaziri