Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Baraza hilo lenye mchanganyiko wa fani mbalimbali limepunguzwa ukubwa kutokawizara 29 hadi 26 na manaibu waziri wakitoka 31 hadi 21. Akitangaza baraza hilo mjini hapa jana, Rais Jakaya Kikwete alisema wizara zingine zimeunganishwa na kuundwa mpya kulingana na mahitaji ya wakati. Walioteuliwa ni Sophia Simba -Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais(Utawala bora), Hawa Ghasia-Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi Umma), Muhammed Seif Khatib -Waziri Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Dk Batilda-SalhaBuriani- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Philip Marmo- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge), Stephen Wassira- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), , Celina Kombani- NaibuWaziri Tamisemi, Mustafa Mkullo- Waziri wa Mipango na Fedha, Jeremiah Sumari- Naibu Waziri Mipango na Fedha, OmariYusuf Mzee_ Naibu Waz...
Comments