PAPA FRANCIS AANGUKA JUKWAANI WAKATI WA MISA
Papa Francis ameangua jukwaani akiwa mji Czestochowa, Poland alipokuwa akitembea kwenda kuhutubia watu waliokuwa wakimsubiria leo tarehe 28 Julai. yuko mjini humo kwa ziara ya siku 5.
Papa Francis ana umri wa miaka 79 alisaidiwa haraka alipoanguka na viongozi wa dini waliokuwepo jukwaani hapo. na kuendelea na misa kama kawaida.
Aidha, Papa Francis anaumwa ugonjwa unaoitwa ‘sciatica’, ambapo maumivu yake huharibu sana miguu na mgongo kwa sehemu ya chini.
Comments