BURIANI MAMA BERNADETHA KILIMBA, MKE WA INJINIA KILIMBA


Meneja wa NHC Mkoa wa Mwanza, Injinia Bennedict Kilimba na wanawe wakiweka shada la maua katika kaburi la mkewe, Mama Bernadetha Kilimba aliyezikwa jana katika makaburi ya Kinyerezi jijini Dar es Salaam. Mama Kilimba alifariki Dunia ghafla usiku wa kuamkia Ijumaa jijini Dar es Salaam.
Meneja wa NHC Mkoa wa Mwanza, Injinia Bennedict Kilimba na wanawe wakiweka wakishuhudia maziko ya Mama Bernadetha Kilimba aliyezikwa jana katika makaburi ya Kinyerezi jijini Dar es Salaam. Mama Kilimba alifariki Dunia ghafla usiku wa kuamkia Ijumaa jijini Dar es Salaam.
Ndugu na jamaa wakiendelea na taratibu za mazishi ya Mama Bernadetha Kilimba aliyezikwa jana katika makaburi ya Kinyerezi jijini Dar es Salaam. Mama Kilimba alifariki Dunia ghafla usiku wa kuamkia Ijumaa jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiweka shada la maua katika kaburi la Mama Bernadetha Kilimba aliyezikwa jana katika makaburi ya Kinyerezi jijini Dar es Salaam. Mama Kilimba alifariki Dunia ghafla usiku wa kuamkia Ijumaa jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi TAMICO, Lilian Reuben, Meneja wa NHC, Julius Ntoga na Meneja wa NHC, Morogoro, Veneranda Seif wakiweka shada la maua katika kaburi la Mama Bernadetha Kilimba aliyezikwa jana katika makaburi ya Kinyerezi jijini Dar es Salaam. Mama Kilimba alifariki Dunia ghafla usiku wa kuamkia Ijumaa jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Operesheni, Utawala na Usimamizi wa Mikoa, Raymond Mndolwa, Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro, Shehe Kombo na waombolezaji wengine wakimfariji Injinia Kilimba.
 Waombolezaji wakielekea Kanisani kwenye misa.



Mkurugenzi wa Operesheni, Utawala na Usimamizi wa Mikoa, Raymond Mndolwa akiwa ameshikilia beleshi kuwawezesha waombolezaji kuweza udongo kwenye kaburi la Mke wa Kilimba, Mama Bernadetha Kilimba.

 Waombolezaji wakielea na shughuli za mazishi katika makaburi ya Kinyerezi jijini Dar es Salaam.
 Waombolezaji wakielea na shughuli za mazishi katika makaburi ya Kinyerezi jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji wakielea na shughuli za mazishi katika makaburi ya Kinyerezi jijini Dar es Salaam.

Comments

Popular posts from this blog

JESHI LA MAGEREZA NCHINI WAJADILIANA NA NHC NAMNA YA KUENDELEZA MAKAZI MAKAO MAKUU DODOMA

Baraza Jipya la Mawaziri