Sunday, August 09, 2015

MAGUFULI ATEMBELEA OFISI YA CCM MKOA WA LINDI


 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ally Mtopa akisalimiana na Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli nje ya ofisi ya CCM mkoa wa Lindi
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kutoka Wilaya ya Lindi ,Mama Salma Kikwete mara baada ya kuwasli  kwenye ofisi za CCM mkoa wa Lindi.
Mgombea wa Urais kwa kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi Ally Mchumo mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za CCM mkoa wa Lindi.

Mgombea wa Urais kupitia CCM ,Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana mkoa wa Lindi Ndugu Amiri Mkalipa wakati wa mapokezi nje ya ofisi za CCM mkoa wa Lindi.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mchumi wa CCM mkoa wa Lindi Ndugu Kassim Abdallah.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Magufuli akisalimiana na wana CCM wa mkoa wa Lindi waliojitokeza kumsalim na kumkaribisha kwenye ofisi za CCM mkoa wa Lindi.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akicheza nyimbo ya hamasa pamoja na vijana wa CCM walikuja kumpokea na kumsalim kwenye ofisi za CCM mkoa wa Lindi.
 Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi, Dk. John Pombe Magufuli akisaini vitabu vya wageni kwenye ofisi ya CCM mkoa wa Lindi, katikati ni Mwenyekiti wa CCM mkoa Mzee Ally Mtopa na kushoto ni Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kutoka Wilaya ya Lindi ,Mama Salma Kikwete
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Mtama Mzee Mohamed Chitende mara baada ya kumaliza kusaini vitabu vya wageni kwenye ofisi ya CCM mkoa wa Lindi.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi nje ya jengo la Ofisi ya CCM mkoa wa Lindi, ambapo aliwaambia kuwa yeye anaamini kwenye misingi ya CCM na kuwataka wanachama wa CCM kushikamana na kuwa wamoja .
Dk. John Pombe Magufuli ,Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM akiwaaga wakazi wa Lindi mara baada ya kumaliza kusaini vitabu na kuwasalimia wanachama wa CCM waliojitokeza kumsalim.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...