Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Profesa Abdallah Safari (kushoto) akipokea fomu kutoka kwa Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa.
Ester Bulaya (wa kwanza kushoto waliovaa fulana) akiwa ukumbini kumshuhudia Edward Lowassa akirudisha fomu ya kugombea urais ndani ya chama.
Wanachama wa Chadema wakimkaribisha Edward Lowassa kwa mabango wakati anarudisha fomu ya kugombea urais ndani ya chama.
Edward Lowassa akiwasili Makao Makuu kurudisha fomu za kuomba kugombea urais ndani ya chama, kushoto kwake ni Alfred Lwakatare, mkuu wa usalama wa chama.
No comments:
Post a Comment