Tuesday, June 16, 2015

RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAISLAM KWENYE MAZISHI YA SHEIKH MKUU WA TANZANIA

01
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
02
Masheikh kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga

No comments:

HESLB NA ADAPT IT ZAINGIA MAKUBALIANO RASMI

Dar es Salaam, Jumatatu, Disemba 08, 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeingia katika hatua nyingine ya mageuzi ya k...