Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Makamu wa Rais wa zamani wa Sudani ya Kusini Mhe. Riek Machar Teny Dhurgon baada ya kufanya naye mazungumzo mafupi walipokutana jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, Jumatatu jioni Juni 15, 2015 baada ya Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika (AU), ambapo Mhe Machar alimuomba Rais Kikwete aendelee kuwa mwenyeji wa mikutano ya mazungumzo ya amani kati ya vikundi vitatu vinavyosigana vya nchi hiyo. Kulia ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment