Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam jana.Juni 24,2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry na Katibu Mkuu wa Baraza
Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry
na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) Sheikh Suleiman Lolila Ikulu jijini Dar es salaam jana.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment