Tuesday, June 23, 2015

MATUKIO KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Peramiho na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge,Jenista Mhagama bungeni mjini Dodoma Juni 22, 2015.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama akiteta na Mbunge wa Kibakwe na Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene bungeni mjini Dodoma Juni 22, 2015.
3
Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akteta na Mbunge wa Nkenge, Asumpta Mshama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 22, 2015.
4
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwanasheria  Mkuu wa Serikali, George masaju kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma juni 22, 2015.
5
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mbunge wa Mji Mkongwe, Muhammad Sanya (kushoto ) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 22, 2015.
6
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu la Parokia ya Karatu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma juni 22, 2015. Kushoto kwake ni Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso.
7
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na watoto wa Shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu wa Parokia ya Karatu, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 22, 2015.
8
9
Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai akiteta na Mbunge wa Viti Maalum Maria Hewa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 22, 2015.
10
Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mafia , Abdulkarim Shahah  (kulia) na Mbunge wa Moshi Mjini Philemon Ndesamburo (katikati) kwenye jengo la Utawala la  Bunge mjini Dodoma juni 22, 2015

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...