Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akitoa somo kwa waajiriwa wapya wa Shirika la Nyumba la Taifa walioajiriwa hivi karibuni kwenye hoteli ya JB Belmont, Dar es Salaam
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akiwasilisha mada kwenye semina ya mafunzo kwa
waajiriwa wapya inayofanyika kwenye hoteli ya JB Belmonte
iliyoko Golden Jubilee Tower, Jijini Dar es Salaam leo.
Pichani baadhi ya Waajiriwa wapya wakisikiliza mada kutoka
kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Felix Maagi wakati akiwasilisha mada kwenye
semina ya mafunzo kwa waajiriwa wapya inayofanyika kwenye hoteli
ya JB Belmonte iliyoko Golden Jubilee Tower, Jijini Dar es Salaam leo.
Pichani baadhi ya Waajiriwa wapya wakisikiliza mada kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Felix Maagi wakati akiwasilisha mada kwenye semina ya mafunzo kwa waajiriwa wapya inayofanyika kwenye hoteli ya JB Belmonte iliyoko Golden Jubilee Tower, Jijini Dar es Salaam leo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akiwasilisha mada kwenye semina ya mafunzo kwa waajiriwa wapya inayofanyika kwenye hoteli ya JB Belmonte iliyoko Golden Jubilee Tower, Jijini Dar es Salaam leo.Pichani baadhi ya Waajiriwa wapya wakisikiliza mada kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Felix Maagi wakati akiwasilisha mada kwenye semina ya mafunzo kwa waajiriwa wapya inayofanyika kwenye hoteli ya JB Belmonte iliyoko Golden Jubilee Tower, Jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment