Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akizungumza na Waandishi wa Habari katika Afisi kuu CCM Kisiwandui ambapo amelaani hatua ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Chama cha CUF kugomea Vikao vinavyoendelea vya Baraza la Wawakilishi hapo Jana.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakichukuwa maeelezo kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari katika Afisi kuu CCM Kisiwandui. Vuali amelaani hatua ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Chama cha CUF kugomea Vikao vinavyoendelea vya Baraza la Wawakilishi hapo Jana.
No comments:
Post a Comment