Thursday, June 25, 2015

WANACCM 21,000 WA MKOA WA PWANI WAMDHAMINI BERNARD MEMBE

SONY DSC
SONY DSC
SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi ya CCM Wilaya ya Kibaha Mjini mkoani Pwani jana, wakati alipofika kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM zaidi ya 21,000 walimdhamini.
Picha zote na John Badi
SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi ya CCM Wilaya ya Kibaha Mjini mkoani Pwani jana, wakati alipofika kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM zaidi ya 21,000 walimdhamini.
SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akipokea lundo la bahasha lenye fomu zilizojazwa na wanaCCM wa Mkoa wa Pwani zaidi ya 21,000 kutoka kwa Kada wa CCM, Pili Chande wakati alipofika katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kibaha Mjini jana, kwa ajili ya kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho. Anayeshuhudia (katikati) ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya hiyo, Maulid Bundala.
SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akiwa na lundo la bahasha lenye fomu zilizojazwa na wanaCCM wa Mkoa wa Pwani zaidi ya 21,000 kutoka kwa Kada wa CCM, Pili Chande wakati alipofika katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kibaha Mjini jana, kwa ajili ya kutafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho. Kushoto ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (MNEC) kutoka Wilaya ya Mafia, Mohamed Nyundo na (kulia) ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya hiyo, Maulid Bundala.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...