Sunday, June 21, 2015

KINANA ATEMBELEA MGODI WA MGUSU ULIOKABIDHIWA KWA WACHIMBAJI WADOGOWADOGO MKOANI GEITA

????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Peter Malebo Mjumbe wa Kamati ya Mgusu Miners Co Oparative Sociaty Limited kuhusu uchakataji wa madini ya dhahabu katika migodi ya wachimbaji wadogo wa Mgusu, wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea na kukagua shughuli za wachimbaji hao, akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.
Wachimbaji hao wakisoma risala yao mbele ya Kinana wachimbaji hao wamesema wanamshukuru Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete kwa ahadi ya kuwapa eneo hilo la Mgusu ili waendeleze uchimbaji wa Dhahabu kwa ajili kuendesha maisha yao, na ni kweli kwamba “Maisha bora kwa kila Mtanzania yamewezekana kwao” ila kikubwa wanachoomba ni serikali  kuwapa  ruzuku kwa ajili ya kukuza mitaji yao.
Kinana amemaliza ziara katika mkoa wa Geita leo na kesho anatarajia kuanza ziara kama hiyo katika mkoa wa Mwanza, Ziara  yenye lengo la kukagua utekelezaji wa  Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010-2015 na kusikiliza kero na matatizo ya wananchi ili kuyapatia ufumbuzi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-GEITA) 
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia jinsi mawe yenye dhahabu yanavyochomwa kwa moto na kupondwa pondwa kwa mikono kisha kusagwa na mashine tayari kwa kusafisha mchanga kwa kutumia kemikali ya Mecury ili kupata dhahabu.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mchanga ambao tayari umeshasagwa kwa mashine tayari kwa kusafishwa ili kupata dhahabu.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mashine maalum ya kusaga mawe yenye dahabu.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Peter Malebo Mjumbe wa Kamati ya Mgusu Miners Co Oparative Sociaty Limited wakati akitembezwa katika mgodi huo.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Peter Malebo Mjumbe wa Kamati ya Mgusu Miners Co. Oparative Society Limited jinsi mchanga unavyosafishwa.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyeshwa dhahabu ambayo tayari imeshapatikana baada ya kupitia hatua zote hizo kutoka kwa  Mjumbe wa Bodi ya Mgusu Miners Co Oparative Sociaty Limited Bw.Abdu Jumbe.
????????????????????????????????????
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akizungumza na wachimbaji wadogo katika mji wa Mgusu mkoani Geita wakati Kinana alipowatembelea wachimbaji hao
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu akizungumza na wachimbaji wadogo katika mji wa Mgusu mkoani Geita wakati alipowatembelea wachimbaji hao.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu akizungumza na wachimbaji wadogo katika mji wa Mgusu mkoani Geita wakati alipowatembelea wachimbaji hao.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale na Kaimu Mkuu wa mkoa wa Geita Bw Ibrahim Marwa wakigongelea misumari katika makenchi ya paa la zahanati ya Kata ya Nyanguku mkoani Geita.
????????????????????????????????????
Baadhi ya mafundi wakiendelea na kazi ya kupiga ripu katika jengo la maabara ya sekondar ya Ihanamilo mkoani Geita.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wakati alipokagua ujenzi wa zahanati ya kata ya Nyamilyango mkoani Geita.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na mbunge wa jimbo la Busanda Lolensia Bukwimba wakishiriki kutandaza nyaya za umeme wa REA vijijini katika kata ya Kasota.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kufukia mabomba katika mradi wa maji wa mji wa Geita katika eneo la Kalangalala Shilabela.
????????????????????????????????????
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Geita Mh. Vick Kamata akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Kalangalala Nyankumbu.
????????????????????????????????????
Mbunge wa jimbo la Busanda  Lolensia Bukwimba akiwasalimia wananchi katika mkutano wa hadhara mjini Geita leo jioni.
????????????????????????????????????
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Nyankumbu mjini Geita.
????????????????????????????????????
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Nyankumbu mjini Geita.
????????????????????????????????????
Umati wa wananchi ukiwa katika mkutano huo.
????????????????????????????????????
Wananchi wakinyoosha mikono yao juu juu kuashiria kumkubali Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa mji wa Geita katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Nyankumbu.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa mji wa Geita katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Nyankumbu.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa mji wa Geita katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Nyankumbu.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati akihutubia wananchi wa mji wa Geita katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Nyankumbu.
????????????????????????????????????
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mbunge wa viti maalum mkoa wa Geita Mh. Vick Kamata wakinyanyua mikono juu wakati wakikabidhi baiskeli za viongozi wa kata wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) zilizonunuliwa na Mbunge huyo, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Nyankumbu

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...