Tuesday, June 30, 2015

NYALANDU AKAMILISHA UDHAMINI MKOANI SINGIDA

ny1
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na mkewe Faraja, wakiwa wamezungukwa na umati mkubwa wa watu wakati alipokwenda kuomba udhamini kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Ilongero, Jimbo la Singida Kaskazini mkoani Singida, juzi. Katika tukio hilo maelfu ya wananchi walijitokeza kutaka kumdhamini katika harakati zake za kuwania kuteuliwa na CCM kuwania urais. Nyalandu ambaye pia ni mbunge wa jimbo hilo, lakini aliwataka radhi na kuomba kudhaminiwa na wanachama 45 tu kama matakwa ya CCM yanavyoelekeza.
ny2
KATIBU wa CCM Wilaya ya Singida, Mwamvua Kilo, akizungumza wakati akimkaribisha Nyalandu kuzungumza na maelfu ya wananchi.
ny3
Nyalandu akizungumza na wananchi
ny4
WANANCHI na wanachama wa CCM wakisikiliza kwa makini wakati    Nyalandu akizungumza masuala mbalimbali na kutumia fursa hiyo kuhamasisha umoja na mshikamani ndani ya Chama.
ny5
WANANCHI na wanachama wa CCM wakisikiliza kwa makini wakati    Nyalandu akizungumza masuala mbalimbali na kutumia fursa hiyo kuhamasisha umoja na mshikamani ndani ya Chama.
ny6
WANACHAMA wa CCM wakiimba nyimbo wakati Nyalandu alipokuwa akiingia kwenye viwanja vya Ilongero kuomba udhamini
ny7ny8
VIONGOZI wa dini mkoani Singida, wakimpa Nyalandu mkono wa pongezi baada ya kutoa hotuba iliyokonga nyoyo za wananchi wakati alipokamilisha kazi ya kuomba udhamini. Mgombea huyo amepata wadhamini katika mikoa yote nchini.
ny10
UMATI ukimsikiliza Nyalandu

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...