Thursday, June 25, 2015

BOTI YA KILIMANJARO V YAZINDULIWA ZANZIBAR

h
Mkurugenzi wa kampuni ya Azam Hussein Moh’d Said akiwaelezea Waandishi wa Habari juu ya safari ya Boti hiyo Kilimnjaro V  zitakavyokuwa kati ya Zanzibar na  Dari-esaalam .
( Pcha zote Na Miza Othman Maelezo Zanzibar).
j
Captain wa Boti ya Kilimanjaro (V)  Thomas akiwapa maelezo Waandishi wa Habari namana anavyoendesha Boti hiyo.
k
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakipanda katika Boti ya Kilimanjaro v iliyozinduliwa jana ambayo inatarajiwa kufanya safari zake hivi karibuni kati ya Zanzibar na Dar-esaalam.
l
Muonekano wa boti ya Kilimanjaro V.

No comments:

RAIS SAMIA AJUMUIKA NA WANANCHI WETE KWENYE FUTARI YA RAMADHANI PEMBA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na makundi mbalimbali ya Wananchi wa Wete kwenye F...