Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM kushoto wakipokelewa na mganga mkuu wa kituo cha afya cha Masumbwe wilayani Mbogwe Katibu Mkuu huyo alipokagua kituo hicho na kuwasha umeme wa REA kituoni hapo akiwa katika ziara ya kikazi wilayani humo yenye lengo la kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2010-2015 inayotekelezwa na serikali, Kulia ni Dr. John Mgosha Mganga Mkuu wa kituo hicho.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBOGWE-GEITA)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifunua pazia wakati alipowasha rasmi umeme wa REA katika kituo cha afya cha Masumbwe kata ya Nyakafuru wilayani Mbogwe mkoa wa Geita
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasha rasmi umeme wa REA katika kituo cha afya cha Masumbwe kata ya Nyakafuru wilayani Mbogwe mkoa wa Geita wakati alipokagua kituo hicho,Kulia ni Dr. John Mgosha Mganga Mkuu wa kituo hicho.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM kushoto akizungumza na Dr. John Mgosha Mganga Mkuu wa kituo cha Afya cha Masumbwe wakati Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake walipofanya ziara katika kituo hicho katikati ni mwandishi wa Redio Uhuru Pius Ntiga ambaye ni mpwa wa Dr. John Mgosha.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na kijana
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua msingi wa moja ya mabweni yanayojengwa kwa nguvu za wananchi katika sekondari ya Mbogwe kata ya Bwela.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipaka rangi moja ya nyumba za walimu zinazojengwa kwa nguvu za wananchi katika sekondari ya Mbogwe kata ya Bwela.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika ujenzi wa wodi ya akina mama inayojengwa kwa nguvu za wananchi katika kata ya Lugunga
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kumwaga zege katika zahanati ya kijiji cha Kasheko kata ya Lulembera wilayani Mbogwe mkaoni Geita.
Baadhi ya wananchi wakinyanyua mikono yao juu kama ishara ya kumkubali Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Kasheko.
Baadhi ya akina mama wakicheza ngoma za asili wakati Kinana alipowasili katika kijiji cha Kasheko wilayani Mbogwe.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiwahutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Masumbwe wilayani Mbogwe.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Masumbwe
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati akihutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Masumbwe wilayani Mbongwe.
Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati akihutubia mkutano huo.
Baadhi ya wananchi wakifuatilia kwa makini mkutano huo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa ameshikilia bendera ya CHADEMA baada ya mmoja wa wafuasi wa chama hicho kujiunga na CCM, katikati ni Mwalimu Jumanne Mohamed Nasoro ambaye amerejesha kadi yake ya CHADEMA na kujiunga na Chama cha Mapinduzi.
No comments:
Post a Comment