Tuesday, June 16, 2015

WAZIRI ANGELA KAIRUKI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MKOA WA KILIMANJARO JUU YA TUHUMA MBALIMBALI ZA ARDHI


Naibu waziri a Ardhi ,Nyumbana Maendeleo na
Makazi,Angela Kairuki akiongozana na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama wakati  alipowasili Kilimanaro kwa ajili ya tuhuma dhidi ya mkuu huyo wa mkoa pamoja na migogoro ya ardhi.


Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya
Makazi,Angela Kairuki akiteta jambo na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama katika mkutano huo.
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya
Makazi,Angela Kairuki akizungumza katika mkutano huo uliowashirikisha wakuu wa wilaya,kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa,maafisa ardhi,madiwani pamoja na wananchi wa kawaida.
Baadhi ya viongozi pamoja na watumishi
wengine walioshiriki mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidss Gama
akizungumza katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya
Rombo,Anthony Tesha akitoa taarifa juu ya kiwanja kilichotolewa kwa
waweezaji na halmashauri hiyo kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha saruji.
Mkurugenzi wa Halamshauri ya wilaya ya
Moshi,Fulgence Mponji akitoa ufafanuz juu ya mgogoro wa kiwanja kinachomilikiwa naaliyekuwa mbunge wa jimbo la Vunjo ,Aloyce Kimaro.
Baadhi ya Madiwani wa Halamshauri ya
manispaa ya Moshi wakiongozwa na Naibu Meya ,Dkt Mbando,PeterKimaro
pamoja na Raymond Mboya.
Mkuu wa wilaya ya Siha,Dk Charles Mlingwa
(kushoto) akiwa na mkuu wa wilaya ya Mwanga Shahibu Ndemanga (katikati) pamoja na Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Koka Moita wakiwa katika mkutano huo.
Wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa
wa Kilimanjaro wakifuatilia mkutano huo.
Na Dixon Buagaga
wa Globu ya Jamii Knada ya Kaskazini.

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...