Mhandisi wa mitambo wa Studio za Bunge Bi. Upendo Mbele akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kulia) na Ujumbe wake juu ya namna wanavyotekeleza majukumu ya kurusha vipindi kwa kuzingatia sheria na Kanuni za Bunge wakati wa Ziara iliyolenga kukabidhi ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Prof. Amon Chaligha akiwa ndani ya Maktaba ya Bunge wakati wa Ziara ya Tume hiyo Bungeni Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment