Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya waalikwa waliohudhuria futari aliyoiandaa kwenye makazi yake jiji Dar es Salaam 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya waalikwa waliohudhuria futari aliyoiandaa kwenye makazi yake jiji Dar es Salaam 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mh Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya waalikwa walioshiriki katika futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu kwenye Makazi yake jijini Dar es Salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na baadhi ya waalikwa wakishiriki katika swala ya jioni kabla ya futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye makazi yake jijini Dar esSalaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akiwa na baadhi ya waalikwa katika futari ilyoandaliwa na Waziri Mkuu, kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Juni 10, 2016. Wapili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM akishiriki pamoja na waalikwa wengine katika futari hiyo iliyoandaliwa kwenye makazi ya Waziri mkuu.
Waziri Mkuu Kassim Majliwa akizungumza na waalikwa katika futari aliyoiandaa kwenye makazi yake jijini Dar es Salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majliwa akisalimiana na Bw. Seif Ali Seif katika futari aliyoiandaa kwenye makazi yake jijini Dar es Salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majliwa akisalimiana na Mh. Raymond Mushi Mkuu wa wilaya ya Ilala katika futari aliyoiandaa kwenye makazi yake jijini Dar es Salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanawake walioshiriki katika futari aliyoiandaa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Juni 10, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania , Abdallah Buelembo katika futari aliyoiandaa kwenye makazi yake jijini Dar es Salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akisalimiana na Mke wa Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam Azalina Madabida katika futari aliyoiandaa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Makazi yake jijini Dar es Salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema katika futari aliyoiandaa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye makazi yake jijini Dares Salaam Juni 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment