Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Humprey Polepole akizungumza wakati wa ibada maalum ya kumuombea Marehemu Hezron Polepole Kinyangidzi katika kanisa la KKKT Ushirika wa Segerea.
Picha ya Marehemu Hezron Polepole Kinyangidzi
Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mzee Joseph Sinde Warioba na Mkewe, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Engineer Nyamuhanga, Katibu wa CCM Ilala pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Tarime Ndugu Glorious Luoga wakati ya Ibada ya kumuombea marehemu Baba mzazi wa Humphrey Polepole katika kanisa la KKKT usharika wa Segerea.
Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mzee Joseph Sinde Warioba akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Humphrey Polepole kwenye msiba wa Mzee
Jaji Warioba na Mkewe wakitoa heshima ya mwisho
Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim akiweka udongo kaburi
Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Humphrey Polepole akiweka udongo kwenye kaburi la Baba yake Mzee hezron Polepole.
Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mzee Joseph Sinde Wariobaakiweka udongo kwenye kaburi la Baba yake Humphrey Polepole.
Humphrey Polepole akiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba yake mzazi aliyezikwa tarehe 26 Juni 2016 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment