Saturday, June 25, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA NORWAY, FINLAND NA MJUMBE MAALUM KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU WA MALAYSIA, IKULU


j1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Norway hapa nchini Hanne-Marie Kaarstand Ikulu jijini Dar es Salaam.
j2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Norway hapa nchini Hanne-Marie Kaarstand mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
j3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na balozi wa Norway hapa nchini Hanne-Marie Kaarstand watatu kutoka kushoto mara baada ya kumaliza mazungumzo  yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
j4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisoma barua ya pongezi iliyowasilishwa kwake na Waziri kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wa Malaysia Dato Sri Idris Jala ambaye ni Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Malaysia.
j5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Waziri kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wa Malaysia Dato Sri Idris Jala ambaye ni Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Malaysia mara baada ya kumkabidhi barua hiyo ya pongezi.
j6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wa Malaysia Dato Sri Idris Jala ambaye ni Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Malaysia mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
j7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Finland hapa nchini Pekka Hukka aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
j8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa Finland hapa nchini Pekka Hukka mara baada ya kumkabidhi Kitabu Ikulu jijini Dar es Salaam.
j9Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Finland hapa nchini Pekka Hukka mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...