Tuesday, June 14, 2016

DAWASCO YAAHIDI KUPUNGUZA KIWANGO CHA UPOTEVU WA MAJI KWA ASILIMIA 45


Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Majitaka Dawasco, Cyprian Luhemeja, akizungumza na waandishi wa habari juu ya operesheni ya kudhibiti mabomba ya maji ya nayovujisha pamoja na Kuwaunganishia maji jijini Dar es Salaam
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Majitaka Dawasco, Cyprian Luhemeja akiongoza operesheni ya kudhibiti mabomba ya maji ya nayovujisha jijini Dar es Salaam.
Mafundi wa Shirika la Majisafi na Majitaka Dawasco wakiendelea na operesheni ya kudhibiti mabomba ya maji ya nayovu, jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Majitaka Dawasco,Cyprian Luhemeja akimkabidhi ndoo ya maji Bi Asha Muhamed malabaada ya kumrejeshea maji nyumbani kwake Sinza leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii).

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...