Friday, June 24, 2016

NHC YAWAKUTANISHA WADAU MBALIMBALI KUJADILI MFUMO MPYA WA UBUNIFU NA UJENZI

 Msimamizi Kiongozi wa Mradi wa Eco Residence, Profesa Ninatubu Lema akizungumza kwenye Warsha ya kupitia na kujifunza masuala mbalimbali yaliyojitokeza wakati wa utekelezaji wa mradi wa Eco Residence kilichotegemewa kufanyika na matokeo yake. Washa hiyo ilipitia na kuzungumzia changamoto mbalimbali walizokabiliana nazo wakandarasi na watekelezaji mradi wengine. Jengo hilo limejengwa na mkandarasi mahiri Estim Construction Limited
 Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Issack Peter akijadiliana jambo na Mwezeshaji wa warsha hiyo, Danny Mwasandube kwenye Warsha ya kupitia na kujifunza masuala mbalimbali yaliyojitokeza wakati wa utekelezaji wa mradi wa Eco Residence kilichotegemewa kufanyika na matokeo yake.
 Mwezeshaji wa warsha hiyo, Danny Mwasandube akijadiliana jambo na Mweseshaji mwenziye katika warsha hiyo, Victoria Marwa Heilman.
 Mhandisi Anna Mrema anayesimamia Jengo la Eco Residence kwa niaba ya NHC akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Baraza la Ujenzi Endelevu na Mazingira Tanzania (Tanzania Green Building Council ) Farizan d’Avezac de Moran wakati wa warsha hiyo. Jengo hilo limejengwa na mkandarasi mahiri Estim Construction Limited.
.Washiriki wakifuatilia Warsha ya kupitia na kujifunza masuala mbalimbali yaliyojitokeza wakati wa utekelezaji wa mradi wa Eco Residence kilichotegemewa kufanyika na matokeo yake.
 Washiriki wakifuatilia kwa karibu Warsha ya kupitia na kujifunza masuala mbalimbali yaliyojitokeza wakati wa utekelezaji wa mradi wa Eco Residence kilichotegemewa kufanyika na matokeo yake.
 Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Issack Peter akifuatilia jambo kwenye Warsha ya kupitia na kujifunza masuala mbalimbali yaliyojitokeza wakati wa utekelezaji wa mradi wa Eco Residence kilichotegemewa kufanyika na matokeo yake.
Mwezeshaji wa Warsha ya kupitia na kujifunza masuala mbalimbali yaliyojitokeza wakati wa utekelezaji wa mradi wa Eco Residence kilichotegemewa kufanyika na matokeo yake, Victoria Marwa Heilman akizungumza jambo katika warsha hiyo.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...