Wednesday, June 29, 2016

KARIBU BANDA LA NHC KWENYE MAONYESHO YA KIMATAIFA YA 40 YA BIASHARA

Huu ndio muonekano wa nje wa banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika viwanja vya Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayosimamiwa na Mamlaka ya Maedeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yanayotarajiwa kufunguliwa rasmi Julai 1, 2016 na Rais wa Rwanda, Mhe Paul Kagame na kuambatana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli katika uwanja wa maonesho wa Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam. Karibu sana ili uweze kupata fursa mbalimbali za kuwekeza katika miradi yetu mbalimbali.  
 Maofisa Wa shirika la Nyumba la Taifa, Edith Nguruwe na Abeld Ngassa Joram wakijadiliana jambo kwenye banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayosimamiwa na Mamlaka ya Maedeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yanayotarajiwa kufunguliwa rasmi Julai 1, 2016 na Rais wa Rwanda, Mhe Paul Kagame na kuambatana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli katika uwanja wa maonesho wa Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam. NHC imeshiriki katika maonyesho hayo kama ilivyo desturi yake lengo likiwa ni kuwafahamisha Watanzania juu ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika
 Baadhi ya wananchi waliofika kwenye banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayosimamiwa na Mamlaka ya Maedeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yanayotarajiwa kufunguliwa rasmi Julai 1, 2016 na Rais wa Rwanda, Mhe Paul Kagame na kuambatana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli katika uwanja wa maonesho wa Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam. NHC imeshiriki katika maonyesho hayo kama ilivyo desturi yake lengo likiwa ni kuwafahamisha Watanzania juu ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika.

Huu ndio muonekano wa nje wa banda la Shirika la Nyumba la Taifa katika viwanja vya Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayosimamiwa na Mamlaka ya Maedeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) yanayotarajiwa kufunguliwa rasmi Julai 1, 2016 na Rais wa Rwanda, Mhe Paul Kagame na kuambatana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli katika uwanja wa maonesho wa Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam. Karibu sana ili uweze kupata fursa mbalimbali za kuwekeza katika miradi yetu mbalimbali.

Karibu katika banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lililopo ndani ya viwanja vya maonyesho la Mwalimu J.K. Nyerere ukiingilia geti kuu nyoosha moja kwa moja mpaka barabara ya nne kushoto kwako utaona banda la Chuo Kikuu Ardhi utakuwa umefika, Banda la NHC linapakana na banda la JKT na Tigo.

Uwapo ndani ya Banda la NHC utashuhudia mambo mbalimbali yakiwamo kampeni ya mauzo ya fursa za uwekezaji Safari City na Kawe City pamoja na shughuli mbalimbali zinazoendelea za Shirika la Nyumba la Taifa.

Utapata maelezo ya kina ya namna Shirika la Nyumba linavyotekeleza majukumu yake ya msingi yakiwamo ya ushauri, ukandarasi, mauzo na ujenzi. Pia utaweza kujipatia fomu na vipeperushi vya miradi mbalimbali inayotekelezwa sasa na baadaye. Tunawakaribisha nyote mtembelee banda letu na kutupa maoni yenu.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...