Sunday, June 12, 2016

UPENDO WOMEN’S GROUP YA UBELGIJI YAFANYA HARAMBEE YA KUISADIA HOSPITALI YA MWANANYAMALA TANZANIA

Mgeni rasmi Dr.Guido Nicolai akifungua hotuba maalumu kuhusu Harambee ya kuchangia hospital ya Mwananyamala nchini Tanzania.Kikundi cha Upendo Womens Group kilichopo nchini Ubelgiji jana tarehe 11.06.2016 walifanya Arambee hiyo kuwasaidia kina mama wanaojifungua katika mazingira magumu nchini Tanzania
Kiongozi mkuu wa kikundi cha kina mama wa Upendo Group Mh; Theresia Greca, muda mfupi kabla ya ufunguzi wa shughuli za uchangishaji wa fedha ili kusaidia kina mama wanaojifungua katika mazingiza magumu katika hospital ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam
Viongozi na wananchama wa Upendo Women’s Group wakipata picha ya pamoja
Mweka hazina wa kikundi cha Upendo women’s Group Begum Chunny akitoa maelewo mafupi jinsi alivyoenda Tanzania kukagua maendeleo yao yanayopatkana katika kuchangia hospital ya Mwananyamala,kulia ni Mwenyekiti wa kikundi hicho Mrs Theresia Greca.

No comments:

WAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Mheshimiwa  Fujii Hisayuki (kulia kwake) na ujumbe ...