Mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akikagua stoo ya sukari katika kiwanda cha kagera sugar kuona akiba ya sukari iliyobakia sambamba na kujionea hali halisi ya uzalishaji wa sukari kiwandani hapo.
Mkuu wa mkoa wa kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akisikiliza taarifa ya kiwanda cha kagera sugar kutoka kwa meneja mkuu wa kiwanda hicho(hayupo pichani)katika ziara yake ya kutembelea kiwanda hicho.Lengo la ziara hiyo ikiwa ni kuona akiba ya sukari iliyobakia sambamba na kujionea hali halisi ya uzalishaji wa sukari kiwandani hapo.Picha na Editha Karlo,Globu ya Jamii-Kigoma
Mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu (mwenye suti)akiwa na viongozi wa kiwanda cha kagera sugar wakati alipofanya ziara yake kiwandani hapo
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja jenerali staafu Salum Kijuu na ujumbe wake wakiangalia sehemu ya maji yaliyojaa kwenye shamba la miwa la kiwanda cha kagera sugar,hali hiyo ilipelekea kiwanda kusimamisha uzalishaji
Baadhi ya mifuko ya sukari iliyohifadhiwa katika stoo ya kiwanda cha kagera sugar
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akipanda moja ya trekita linalofanya kazi katika mashamba ya miwa ya kagera sugar
No comments:
Post a Comment