Thursday, June 09, 2016

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA WACHANGIA MILIONI 4 ZA MADAWATI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DK. MAGUFULI

Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Balozi Daniel Ole Njolaay akikabidhi hundi ya dola 2000 za Kimarekani sawa na kiasi cha zaidi ya shilingi milioni nne Mh. Dk Angelina Mabula Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Rais Dk. John Pombe Magufuli katika kuhakikisha shule za msingi zinakuwa na madawati ya kutosha hapa nchini, Hafla hiyo ilifanyika kwenye ubalozi wa Tanzania jijini Abuja nchini Nigeria mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa Maendeleo ya Makazi jijini humo.Mh. Dk Angelina Mabula Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaziakizungumza katika hafla hiyo huku Balozi Daniel Ole Njolaay akimsikiliza.Mh. Dk Angelina Mabula Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazipamoja na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Balozi Daniel Ole Njolaay wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofisa wa ubalizi huo na Shirika la Nyumba la Taifa NHC.Mh. Dk Angelina Mabula Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Balozi Daniel Ole Njolaay pamoja na maofisa waubalozi huo na Shirika la Nyumba Tanzania NHC wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya hafla hiyo.

No comments:

TANZANIA IPO TAYARI KUPOKEA WAKUU WA NCHI AFRIKA KATIKA MKUTANO WA NISHATI WA MISSION 300 -DKT.KAZUNGU

  Dkt Khatibu Kazungu akiwasilisha mada ya umuhimu wa ufadhili wa miradi ya Nishati Jadidifu kwa upande wa Tanzania kwenye mkutano wa Bara...