Sunday, June 12, 2016

WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI MFUKO WA BIMA YA TAIFA YA AFYA (NHIF)

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akikata utepe kwenye vitabu ambavyo ni muongozo wa kazi kwa ajili ya Bodi Mpya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa Bodi hiyo, uliofanyika leo Juni 11, 2016 kwenye Makao Makuu ya Mfuko huo, Kurasini Jijini Dar es salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bw.Bernard Konga.Katika hotuba yake, Waziri Ummy ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kuisaidia wizara ya Afya kwa mafanikio ya wizara hiyo yatatokana na utendaji uliotukuka wa Taasisi mbili ambazo ni NHIF na MSD yaani Bohari ya Madawa kutakuwa na mafanikio makubwa kwa wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
2Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti  wa Bodi Mpya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)  Mama Anne Makinda , mara baada ya  Uzinduzi wa Bodi hiyo, uliofanyika leo Juni 11, 2016 kwenye Makao Makuu ya Mfuko huo, Kurasini Jijini Dar es salaam. katikati ni  Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga.
4Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akimkabidhi vitendea kazi Mkurugenzi  Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga kulia ni Mwenyekiti  wa Bodi Mpya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)  Mama Anne Makinda , mara baada ya  Uzinduzi wa Bodi hiyo, uliofanyika leo Juni 11, 2016 kwenye Makao Makuu ya Mfuko huo, Kurasini Jijini Dar es salaam.
5Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu , Mkurugenzi  Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga na  Mwenyekiti  wa Bodi Mpya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)  Mama Anne Makinda wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo leo
6Mwenyekiti  wa Bodi Mpya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)  Mama Anne Makinda akizungumza mara baada ya uzinduzi huo.
7Baadhi ya wafanyakazi wa mfuko huo wakiwa katika uzinduzi huo.
8Eugine Mikongoti, Mkurugenzi wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF akitoa maelezo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akitembelea na kukagua vitengo mbalimbali vya NHIF katikati ni Mama Anne Makinda Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF.
9Ofisa Mawasiliano wa NHIF, Luhende Singu akitoa maelezo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu katikati wakati alipotembelea kituo cha huduma kwa wateja kulia ni Mama Anne Makinda Mwenyekiti wa Bodi ya NHIFM.
10MKurugenzi wa Huduma NHIF Bw Raphael Mwamoto akitoa maelezo kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF Mama Anne Makinda, Kaimu Mkurugenzi wa NHIF Bw. Bernald Konga na wajumbe wa bodi wakati alipotembelea kitengo cha kuhifadhi nyaraka
12Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF Mama Anne Makinda wakitembelea maeneo mbalimbali mfuko huo.
1315Baadhi ya wakuu wa vitengo kutoka mfuko wa bima ya Afya NHIF na Wizara ya Afya wakiwa katika uzinduzi huo.
16Baadhi ya wafanyakazi wa NHIF na Waandishi wa habari wakiwa katika zuinduzi huo
17Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
20Mkurugenzi  Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Kongaakitoa neno katika uzinduzi huo.
21Rehani Athumani Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti NHIF akizungumzana kukaribisha wajumbe wa bodi na wageni mbalimbali waliofika katika uzinduzi wa bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF leo katika makao makuu ya mfuko huo Kurasini jijini Dar es salaam.
22Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika uzinduzi huo

No comments:

WAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Mheshimiwa  Fujii Hisayuki (kulia kwake) na ujumbe ...