Sunday, June 12, 2016

WAZIRI MKUU MSTAAFU PETER KAYANZA PINDA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MCHEPUO WA KIINGEREZA

pim1Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akimsikiliza Glorius Nkinda ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza  katika shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati akijibu swali la Hesabu alilomuuliza. Mhe. Pinda alitembelea shule hiyo hivi karibuni kwa ajili ya  kuwasalimia  wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
pim2Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiongea na wanafunzi  wa darasa la kwanza wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipoitembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia  wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
pim3Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akimsikiliza Kelvin Agustino mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke alipokuwa akisoma kitabu cha Kiingereza wakati alipoitembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia  wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
pim4Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiwauliza maswali wanafunzi wa shule ya awali wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia  wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
pim5Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiwauliza maswali wanafunzi wa shule ya awali wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia  wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
pim6Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiwa katika picha ya pamoja na walimu pamoja na wanafunzi wa darasa la tatu wakati alipoitembelea  shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia  wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
 Picha na Mpigapicha wetu.

No comments:

WAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Mheshimiwa  Fujii Hisayuki (kulia kwake) na ujumbe ...