Friday, August 07, 2015

YANAYOJIRI NANENANE MKOANI LINDI

 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kwenye maonyesho ya Nanenane kitaifa kwenye uwanja wa Ngongo Lindi . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Mkuu wa Mkoa wa lindi, Mwantumu Mahiza akizungumza kwenye maonyesho ya Nane Nane kitaifa wakati wa ufunguzi wa maonyesho hayo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua maonyesho ya Nanenane kitaifa kwenye uwanja wa Ngongo Lindi Agosti 4, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa lindi, Mwantumu Mahiza na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Aika Swai akitoa maelekezo kwa mteja kwenye maonyesho ya Nane Nane Kitaifa Ngongo, Lindi.  Anayeshuhudia ni Afisa Mauzo Mwandamizi, Joseph Haule.


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wafanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania wakatia lipotembelea banda la la Benki hiyo baada ya kufungua maonyesho ya Nanenane kwenye uwanja wa Ngongo Lindi Agosti 4, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mashine ya kunyonyoa kuku wakati alipotembelea banda la kampuni ya ubia kati ya watanzania na wachina ya Poly Machinery ya Millennium Busibess Park jijijni Dares salaam, baada ya kufungua maonyesho ya Nanenane kwenye uwanja wa Ngongo Lindi Agosti 4, 2015

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...