Aliyekuwa Mkuu wa Magereza Mkoa wa Shinyanga Kamishina Msaidizi wa Magereza (SACP) Annethy Laurent.
Mwili wa Marehemu Anneth ukiwasili katika Kanisa Katoliki Parokiani Segerea. Walio mbele ni Pamela (mtoto wa dada yake na Marehemu) na aliyebeba picha ni mtoto wa Pamela ( Mjukuu wa Marehemu). Walioshika jeneza kushoto ni Mkuu wa Magereza mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Dk.Kato Rugainunura, kulia ni Mkuu wa Kikosi Maalum Cha Magereza Kamishna Msaidizi wa Magereza (ACP) Rajab Nyange
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakati wa ibada ya kumuombea Marehemu.
Naibu Kamishna wa Magereza (DCP) Edith Mallya akitoka salaam za Jeshi la Magereza kwa wafiwa kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Magereza John C. Minja.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama aliye pia Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Ally Lufunga akitoka salaam za pole kwa wafiwa kwa niamba ya Kamati yake ambayo pia aliongozana nayo katika msiba huo (hawapo pichani)
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama aliye pia Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Ally Lufunga(Mwenye miwani) akitoa heshima za mwisho kwa marehemu. Wa pili ni Kamishna Jenerali wa Magereza John Minja akifuatiwa na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakhim Maswi wakitoa salaam zao za mwisho.
Mwili wa Marehemu Anneth ukiwasili katika kanisa katoliki parokiani Segerea tayari kwa misa takatifu ya kumuombea marehemu.
Baada ya misa takatifu msafara wa kuelekea makaburini ulianza ukiongozwa na Kamishina Jenerali wa Magereza (CGP) John Minja.
Picha zote na Mkaguzi wa Magereza Moses Sebastian
Makao Makuu ya Magereza.
No comments:
Post a Comment