Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akizungumza, mmoja wa viongozi wa kampuni ya Marmo and Garnito Mines wakati alipokuwa kwenye ziara ya viwanda mkoani mbeya hivi karibuni.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,Janet Mbene,akiangalia baadhi ya bidhaa zilizotengenezwa na kampuni ya Marmo and Garnito Mines kwa ajili ya matumizi mbalimbali
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara , Janet Mbene, akitembelea sehemu ya kiwanda cha Marmo anda Granito Mines
No comments:
Post a Comment