Sunday, August 09, 2015

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI,PEREIRA AME SILIMA AFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI


Mgeni rasmi katika ufungaji wa Mafunzo ya awali ya skari Polisi,NaibuWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Pereira Ame Silima akizungumza wakati wa sherehe za ufungaji wa mafunzo hayo zilizofanyika Chuo Cha Taaluma ya Polisi Moshi,

Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya awali ya Askari Polisi na Uhamiaji.
Naibu Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi ,Abdulrahman Kaniki akitoa hotuba yake katika siku hiyo.
Mkuu wa Chuo cha Polisi ,Commandant ,Matanga Mbushi akitoa hotuba yake katika sherehe hizo.
Baadhi ya wahitimu.
Mgeni rasmi ,Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ,Pereira Ame Silima akiomgozana na mkuu wa Chuo cha Polisi ,Moshi ,Mantanga Mbushi (kushoto) wakielekea katika uwanja wa Vikwazo kwa ajili ya maoensho ya asakari.
Baaadhi ya viongozi wa jeshi la Polisi wakifuatilia maonesho ya askari.
Askari Polisi wahitimu wakionesha umahiri wa kucheza Karate.
Askari Polisi wahitimu wakionesha Umahiri katika kutumia pikipiki wakati wa kudhibiti uharifu.
Askari Polisi Wahitimu wakionesha mbinu mbalimbali walizofundishwa .
Askari Polisi Wahitimu wakionesha namna wanavyoweza kutumia bastola.
Askari wahitimu wa kike wakionesha namna ambavyo walivyofundishwa matumizi ya Bastola.
Askari Polisi wahitimu wakionesha nmna ya kushusha wagonjwa kutoka gorofani.
Askari Polisi wakionesha namna wanavyoweza kupambana na waharifu kwa kutumia kisu.
Askari Polisi wa kike wakionesha namna ambavyo wanaweza kutumia kisu kupambana na mharifu.
Bendi ya Muziki ya Chuo cha Polisi ikiongozwa na Venance Geuza ,maarufu kama Anko Vena zamani Dogo Vena wakitoa burudani wakati wa sherehe hizo.
Kwaya ya wahitimu wakicheza wakati wakitumbuiza katika sherehe hizo.
Baadhi ya wahitimu.
Baadhi ya maofisa wa Polisi wakiwa timamu Chuoni hapo.
Wahitimu wakiwa katika picha ya Pamoja.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...