Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gari la kubeba wagonjwa lililotolewa na kampuni ya Sayed Corporation Limited kwa ajili ya hospitali ya Endulen ya Ngorongoro . Gari hilo lilikabidhiwa kwa Waziri Mkuu, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015 na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Masood ur Rehman Sayed (kulia kwake) jijini Dar es slaam . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Marekani, Ofisi kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015. Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje,Liberata Mulamula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Marekani baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikikiano wa Kimataifa, Liberata Mulamula.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1 comment:
thanks for sharing nice blog and good information
Post a Comment