Mwenyekiti Mpya wa mji mdogo wa Himo,Hussein
Jamal akiwasili katika ukumbi wa King size katika mji wa Himo kwa
ajili ya sherehe ya kupongezwa baada ya kufanikiwa kushinda kiti
hicho.
Baaadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliofika katika sherehe ya pongezi kwa mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo. |
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa Himo wakiwa katika sherehe hizo. |
Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi vijijini Miriam Kaaya akizungumza wakatio wa sherehe za kumpongeza mwenyekiti wa mji mdpgo wa Himo ,Hussein Jamal. |
Kamanda wa Uhamasishaji wilaya ya Moshi Vijijini Hassan Hussein,akizungumza wakati wa sherehe hizo. |
Mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi kutoka wilaya ya Kinondoni, |
Mzee Shayo maarufu kama King size akimpongeza naibu kamanda wa jumuiya ya Vijana wilaya ya Moshi vijijini ,Innocent Melecky kwa uamuzi wake wa kutangaza nia ya kutaka kugombea jimbo la Vunjo. |
Viongozi wakiimba nyimbo za pongezi . |
No comments:
Post a Comment