Friday, June 12, 2015

MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA

1
Spika wa Bunge akiingia bungeni kabla ya bajeti ya serikali kusomwa bungeni mjini Dodoma Juni 11, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3
 Waziri wa Fedha Saada Mkuya akiingia bungeni kusoma bajeti ya serikali juni 11, 2015.
4
Waziri wa Fedha Saada mkuya akisoma bajeti ya serikali, bungeni mjini Dodoma Juni 11, 2015.

No comments:

RAIS SAMIA AWAINUA PIKIKIPI 37 MAAFISA UGANI WA KILIMO KIBAHA TC

  NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Halmashauri ya Kibaha mji imepokea jumla ya pikipiki zipatazo 37 kutoka serikalini kupitia Wizara ya kilimo ...