Wednesday, October 01, 2014

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA ASHUKA MILIMA YA USAMBARA KWA BAISKELI

01Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi mara baada ya kuwasili katika kata ya Mng’aro Lushoto mara baada ya kushuka milima ya Usambara huku akiendesha Baiskeli pamoja na Nape Nnauye na wananchi wengine wakati msafara wake ukielekea jimboni Mkinga wilaya ya Mkinga, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana yuko katika ziara ya mkoa wa Tanga akikagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010, Akiongozana na Nape Nnauye.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MKINGA TANGA)1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionoza wananchi wakati akishuka milima ya usambara kwa kutumia baiskeli pamoja na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi pamoja na wananchi wengine.2Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza wananchi katika msafara wake.3Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  na Nape Nnauye wakiendelea na safari pamoja na wananchi.4Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akiwasili kwa baiskeli katika kata ya Mng’aro Lushoto.5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga makofi na Mkuu wa wilaya ya LushotoMhe. Majid Hemed Mwanga kulia wakipiga makofi huku mwadishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo akifurahia mara baada ya kuwasili katika kata ya Mng’aro wilayani Lushoto6Mkuu wa wilaya ya Lushoto Mhe. Majid Hemed Mwanga akizungumza na wananchi katika kata yaMng’aro wilayani Lushoto.7Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi  akizungumza na wananchi katika kata yaMng’aro wilayani Lushoto.8Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akizungumza na wananchi katika kata ya Mng’aro wilayani Lushoto.9Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Mkuu wa wilaya ya Lushoto Mhe. Majid Hemed Mwanga.10Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi mbalimbali wa wilaya ya Mkinga alipowasili katika kata ya Daluni B/ Bombo.11Kikundi cha ngoma kikitumbuiza wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipowasili katika kata ya Daluni B/ Bombo wilaya ya Mkinga.12Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa msingi wa zahanati ya kata yaDaluni B/ Bombo wilaya ya Mkinga.13Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi baada ya kushiriki ujenzi wa msingi wa zahanati ya kata ya Daluni B/ Bombo wilaya ya Mkinga wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mkinga Bi.Mhe.Mboni Mgaza14Mkuu wa kituo cha polisi cha Malamba Bw. SA Mushi akisoma risala kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati katibu mkuu huyo alipotembelea na kukagua ujenzi wa jengo jipya la kituo hicho.15Hiki ndiyo kituo kinachotumika kwa sasa.16Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa msingi wa jengo la kituo kipya cha Malamba wilayani Mkinga.17Mkuu wa wilaya ya Mkinga Bi.Mhe.Mboni Mgaza  akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa wilaya ya Mkinga uliofanyika katika ukumbi wa World Vision Manza wilayani Mkinga.18Baadhi ya maofisa wa CCM wakiwa katika mkutano huo kuanzia kushoto ni Edward Mpogole, Mzee Msami Gifti Msuyana Adam Mzee.19Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa mkutano huo.20Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Mkinga wakiwa katika mkutano huo.21Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akiwasalimia wananchi wa kata ya Duga kijiji cha Maforoni wilayani Mkinga.22Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Maforoni wilaya ya Mkinga.23Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia na kuzungumza na wananchi wa kata ya Duga kijiji cha Maforoni wilayani Mkinga mara baada ya kuwasili kijijini hapo.24Diwani wa kata ya Duga Bw. Ali Ali akizungumza na wapiga kura wake katika kijiji cha Maforoni wilayani Mkinga.25Mkuu wa wilaya ya Mkinga Bi.Mhe.Mboni Mgaza  akijibu baadhi ya maswali mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati katibu mkuu huyo alipozungumza na wananchi katika kijiji cha Maforo wilayani Mkinga.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...