KLABU ya Simba imefanya mkutano mkuu wa wanachama jana katika ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Osterbay jijini Dar es salaam kujadili masuala mbalimbali ya klabu hiyo.
Mkutano huo ni wa kwanza tangu viongozi wapya chini ya Rais Evans Eliaza Aveva na makamu wake Geofrey Nyange ‘Kaburu’ waingie madarakani juni 29 mwaka huu.
Agenda za mkutano huo zilitangazwa jana na Agenda ya 11 ambayo ilihusu wanachama 72 waliosimamishwa uanachama na kamati tendaji ilitegemewa kuwa ya vuta ni kuvute.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
No comments:
Post a Comment