Tuesday, August 19, 2014

PINDA AFUNGUA MKUTANO WADAU WA BARABARA NA KUZINDUA KIWANDA CHA NONDO, KAMAL


Wahandisi wa Halmashauri za Wilaya wakiapa mbele ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa watafanya kazi zao kwa uaminifu wakati Waziri Mkuu alipofungua mkutano wa Wadau wa Barabara wa Serikali za Mitaa kwenye hoteli ya Ngurdoto Arusha
 
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Barabara  wa Serikali za Mitaa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano wao kwenye hoteli ya Ngurdoto, Arusha

Wazirii Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wakuu wa Mikoa, Said Thabiti Mwambugu wa Ruvuma (kushoto),Joseph Simbakaria wa Mtwara (wapili kusho) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Hawa Ghasia baada ya kufungua mkutano wa wadau wa barabara wa Serikali za Mitaa kwenye hoteli ya Ngurdoto ,Arusha

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Barabara  wa Serikali za Mitaa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano wao kwenye hoteli ya Ngurdoti, Arusha
Waziri Mkuu. Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu , Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI,  Jumanne Sajini baada ya kuwasili  kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro August 17, 2014 na  atafungua  Mkutano wa  Wadau wa  barabara wa Serikali za Mitaa  kwenye hoteli ya Ngurdoto Arusha August 18, 2014.  Katikati ni Waziri wa TAMISEMI , Hawa Ghasia
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua uzalishaji nonda katika kiwanda cha Kamal Steel Limited cha Chang'ombe jijini Dar baada ya kuzindua upanuzi wa kiwanda hicho, August 17, 2014. Kushoto ni Mwenyekiti  wa kiwanda, Gagan Kamal
Waziri Mkuu Mizengo  Pinda, akinyanyua mkasi juu kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa upanuazi wa kiwanda cha kutengeneza nondo cha Kamal Steels Limited cha jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Wegine  Mwenyekiti wa kiwanda hicho Bw. Gagan Gupta (katikati ) na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bw. Said Meck Sadick  kushoto. (Picha zote na Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...