Naibu Katibu Mkuu
CCM Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba akimuapisha Salim Asas kuwa Kamanda
wa UVCCM Mkoa wa Iringa, Salim Asas jana
Alipokuwa
akimvalisha gwanda la ukamanda
Katikati ya wazee
wa kimila baaada ya kuapishwa
Dokii na kundi
lake walitoa burudani
Akafuata baba
level
Na Wanne Star
alikuwepo
Makomandoo
Na wasanii wa
Iringa walikuwepo
Meza kuu ilikuwa
na waalikwa mbalimbali
Vijana Jazz
wakaendelea kusherehesha sherehe hizo
Na Francis GodwinBlog
No comments:
Post a Comment