Tuesday, August 26, 2014

RAIS DR. SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU

IMG_1932
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Sira Ubwa  Mamboya kuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla Dk.Sira alikuwa Naibu Waziri wa Afya.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_1947
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Juma Duni Haji  kuwa Waziri wa  Miundombinu na Mawasiliano katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa  Waziri wa Afya.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_1958
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Rashid   Seif Suleiman kuwa Waziri wa Afya,awali alikuwa Waziri wa   Miundombinu na Mawasiliano hafla ya kiapo ilifanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_1970
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mahmoud Thabit Kombo  kuwa Naibu Waziri wa Afya,  hafla ya kiapo ilifanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_1992
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Meja mstaafu Juma Kassim Tindwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba,(Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_2007
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Omar Khamis Othman kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini  Pemba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana ,  (Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mwanajuma Majid Abdulla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana ,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, (Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_2048
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi  jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,awali alikua Afisa Tawala katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mjini magharibi Unguja, (Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_2078
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Hanuna Masoud Ibrahim kuwa Mkuu wa Wilaya ya  Chake chake Pemba jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, (Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...