Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda akizungumza wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa Halmashauri zote sita za mkoa wa Manyara kwa Mkuu wa Wilaya ya Babati Khalid Mandia. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Jaffari Wambura Chegge.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda akikabidhi baadhi ya mashine hizo za Halmashauri zote sita za mkoa wa Manyara kwa Mkuu wa Wilaya ya Babati Khalid Mandia.
Mwakilishi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Jaffari Wambura Chegge akikabidhi mashine 24 kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda ambaye naye alizikabidhi mashine hizo za Halmashauri zote sita za mkoa wa Manyara kwa Mkuu wa Wilaya ya Babati Khalid Mandia.

Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Jaffari Wambura Chegge na Gibson Mwaigomole, Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa.
Mwakilishi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Jaffari Wambura Chegge akizungumza kabla ya makabidhiano ya mashine 24 kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Rachel Kassanda ambaye naye alizikabidhi mashine hizo za Halmashauri zote sita za mkoa wa Manyara kwa Mkuu wa Wilaya ya Babati Khalid Mandia.
No comments:
Post a Comment