Mweyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiwahutubia wasanii pamoja na waandishi wa habari waliohudhuria mkutano jana katika kumbi za mikutano bungeni mjini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samia Suluhu Hassan akito maneno ya shukuurani kwa wasanii wakati walipofanya mkutano na Mweyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta mkutano jana katika moja ya kumbi za mikutano bungeni mjini Dodoma.
Baadhi ya wasanii na waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini maelezo kutoka kwa Mweyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta wakati walipohudhuria mkutano jana katika moja ya kumbi za mikutano bungeni mjini Dodoma.
Viongozi wa msafara walifuatana na wasanii 25 wakimsikiliza Makamamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samia Suluhu Hassani wakati walipohudhuria mkutano jana katika moja ya kumbi za mikutano bungeni mjini Dodoma.
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzani (TAF) Bw. Simon Mwakifamba (kushoto) akimkabidhi Mweyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta ripoti ya wasanii yenye mapendekezo mbalimbali kuhususiana na Katiba mpya wakati wa mkutano katika moja ya kumbi za mikutano bungeni mjini Dodoma.
Mweyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasanii walifika Bungeni mjini Dodoma kwa ajili kuwasilisha mapendekezo yao kwajili ya Katiba mpya. Kushoto kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samia Suluhu Hassan
No comments:
Post a Comment