Friday, August 15, 2014

NJOO UANZE WEEK – END YAKO KWA KUSAKATA RHUMBA NA SKYLIGHT BAND LEO THAI VILLAGE-MASAKI

DSC_0015
Divas wa Skylight Band kutoka kushoto Aneth Kushaba AK47, Mary Lucos na Digna Mbepera kwa pamoja wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0016
Mary Lucos akifanya yake jukwaani.
DSC_0005
Hashim Donode a.k.a Mzee wa Kiduku akitoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Digna Mbepera pamoja na Sam Mapenzi.
DSC_0028
Sam Mapenzi (kulia) sambamba na Sony Masamba (katikati) pamoja na Joniko Flower wakisebeneka Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0041
Mupe Salute…Salute mashabiki wa Skylight Band wakishuhudia burudani ya kikosi cha Band inayojikusanyia mashabiki lukuki kutoka kila kona ya nchi ya Tanzania pamoja na nje pia.
DSC_0049Twende hapa ni burudani tu.
DSC_0063
Mdau Maso (kushoto) akiwa na marafiki zake ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita walipojumuika kula bata na Skylight Band.
DSC_0073
Babu Athumani na Tophy Bass wa Skylight Band nao walipata ukodak.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...