Tuesday, August 19, 2014

Waziri Mkuu Mizengo Pinda atembelea nyumba za NHC Kibada


Mizengo Pinda akiwa na  Bibi Doreene Mkandara na Mwanae Adastus  Aporinary ambao ni miongoni mwa wateja waliouziwa nyumba  na Shirika la Nyumba la Taifa la NHC  zilizoko eneo la Kibada  Kigamboni jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu aliembelea August 16, 2014

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amembeba mtoto Adastus Aporinary, wa  Doreene Mkandara (Kulia), alipotembelea mradi wa nyumba za shirika la nyumba nchini NHC, Kigamboni jijini Dar es Salaam. Doreen ni miongoni mwa wateja waliouziwa nyumba  hizo zilizoko eneo la  Kibada  Kigamboni jijini Dar es salaam

Mradi wa nyumba za NSSF, Kigamboni
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba  katika mradi wa DEGE  ECO VILLAGE unaomilikiwa na Shirika la NSSF eneo la Kigambaoni

Pinda akisalimiana na wajenzi wa daraja la Kigamboni

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam August 16, 2014

Waziri  Mkuu, Mizewngo Pinda akikagua ujenzi wa daraja la kigamboni jijini Dar es Salaam August 16, 2014

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...