Wednesday, August 20, 2014

JK MGENI RASMI MASHINDANO YA MICHEZO KWA SHULE ZA SEKONDARI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

F1a
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari (hawapopichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa mashindano hayo yanayotarajiwa kuanza tarehe 22 na kuzinduliwa rasmi tarehe 24 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
F2
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari (hawapopichani) kuhusu uzinduzi wa mashindano hayo yanayotarajiwa kuanza tarehe 22,kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa TAMISEMI Packshard P. Mkongwi.
F2a
Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TAMISEMI Jumanne Sagini, Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na MichezoBibi. Juliana Yassoda, Mkuu wa Uhamasishaji wa Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA)Bw. Felix Shija wakifuatilia maelezoya Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki(FEASSSA)Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...