Vijana na wageni waalikwa mbalimbali waliofika katika hafla hiyo fupi wakikagua mashine za kufyatulia tofali za kufungamana jana.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Ndugu Ferbert Sebastian Ngaponda akichangia katika kikao hicho
Meya wa Manispaa ya Sumbawanga, Sebastian Katepa akiwahutubia vijana, watendaji wa Serikali pamoja na waalikwa wengine waliohudhuria hafla hiyo jana.
Meneja wa NHC mikoa ya Rukwa na Katavi, Nehemia Msigwa akiwahutubia Wakuu wa Wilaya, za Mkoa wa Rukwa, Wakurugenzi wa Halmashauri, vijana, watendaji wa Serikali pamoja na waalikwa wengine waliohudhuria hafla hiyo jana.
Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Mathew Sedoyeka akiwahutubia Wakuu wa Wilaya, za Mkoa wa Rukwa, Wakurugenzi wa Halmashauri, vijana, watendaji wa Serikali pamoja na waalikwa wengine waliohudhuria hafla hiyo jana.
No comments:
Post a Comment