Monday, August 25, 2014

PINDA AONGOZA HARAMBEE YA MKAPA FELLOWS

PG4A3120Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014. Zaidi ya sh. Bilioni 1.3 zilichangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A3152Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea mchango wa shilingi milioni 15 kutoka kwa Mfanyabiashara wa Mwanza na Dar es salaam Jumanne Kishimba katika harambee ya kuchangia  Mradi wa Mkapa Fellows iliyofanyiak kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23,2014. Zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3 zilichangwa. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A3158Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa akimshukuru Mfanyabiashara wa Dar es salaam na Mwanza, Jumanne Kishimba ambaye alichangia Shilingi milioni 15 katika harambee ya kuchangia mradi wa Mkapa Felllows kwenye hotel ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014.  Zaidi ya Shilingi Bilioni 1.5 zilichangwa. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Mkapa HIV/AIDS, Balozi Charles Sanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A3167Waziri Mmuu, Mizengo Pinda akipokea  kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanal Fabian Massawe Maarufu kwa jina la Mulokozi mchango wa zaidi ya shilingi milioni 100 zilizochangwa na  Wanakagera katika harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Mradi  wa Mkapa Fellows, kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014. Zaidi ya Shilingi Bilioni1.3 zilichangwa katika harambee hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A3218Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akipokea mchango wa zaidi ya shilingi milioni 100 kutoka kwa  Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Ali Rufunga   zilizotolewa na wanashinyanga kuchangia mradi wa Mkapa Fellows katika harambee iliyoongozwa na Waziri Mkuu kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza August 23, 2014. Zaidi ya shilingi Bilioni 1.3 zilichangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A3242Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimshukuru Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest  Ndikilo ambaye aliwasilisha mchango wa zaidi ya Shilingi milioni 100 zilizochangwa na Wanamwanza katika harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows iliyofanyika kwenye hoteli ya JB Belmont jijini Mwanza, August 23, 2014. Zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3 zilichangwa katika  harambee hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A3492Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa  baada  ya harambee ya kuchangia Mradi wa Mkapa Fellows iliyofanyika kwenye hoteli ya JB Belmont  jijini Mwanza, August 23, 2014. Zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3 zilichangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...