MBUNGE wa viti maalumu(Chadema)Ester Matiku amejitosa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (Bawacha) mkoa wa Mara na kuahidi kushughulikia matatizo ya Wanawake yanayowakabili katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi na kisiasa.
Habari zaidi subili hivi punde....
SOURCE:SHOMI BINDA
No comments:
Post a Comment